top of page

BRP-Kenya

 

BRP-Kenya was formed in December of 2019 in the city of Kakamega, Kenya, led by Hildah Nyongesa, Board Chair and her dedicated team.  The ladies work tirelessly to ensure young girls in Kenya have access to leadership development so they can sustain themselves and their villages. Pictured below is of our first BRP Scholar 2020 cohort and second cohort from 2021, sixteen young girls from 4th-7th grade.  For more information regarding BRP-Kenya,

please email: Hildah@boardroomrproject.org 

IMG_6379
BRPKenya.Spring2021
BK1
BRP Scholar 2020 Cohort
BK3
BK4
BK2
Nia1
NiaMainPic
BRPk12_edited

Mradi wa Kamati - Kenya (BRP-Kenya) ulibuniwa mwaka wa 2019 Disemba katika jiji la Kakamega, nchini Kenya ukiongozwa na Hildah Nyongesa Mwenyekiti wa Kamati pamoja na tume yake. Wanawake hawa wamefanya juhudi nyingi kuhakikisha kuwa wasichana wadogo nchini Kenya wanaafikia uongozi endelevu, kujithamini, kupata vifaa vya hedhi na masomo ili kujimudu pamoja na jamii zao. Picha ifuatayo ni ya maelezo ya mradi wa kwanza wa Kamati ya kikundi cha Usomi 2020, wasichana kumi na sita kuanzia gredi ya 4-7.    Kwa maelezo zaidi kuhusu Mradi wa Kamati- Kenya tafadhali tutumie barua pepe: Hildah@boardroomproject.org

bottom of page